skip to main |
skip to sidebar
MWANAFA-NEW Rapper Hamis Mwinjuma aka Mwana FA amekanusha tetesi kuwa ana mpango wa kugombea ubunge katika moja ya majimbo ya mkoani Tanga anakotokea na kudai kuwa lengo lake ni kuisaidia jamii lakini si kwa kupitia siasa. Akiongea na 255 ya Clouds FM, Mwana FA amesema kwa nafasi aliyonayo kama msanii anaweza kuisaidia jamii bila ya kuwa mwakilishi wa kisiasa. “Kusaidia jamii sio lazima uwe mwanasiasa sababu kuna watu kibao wanaofanya kama wanaharakati tu, ukasaidia ambapo kuna matatizo, kuna watu wanaweza kupandisha sauti zao wakawafanya watu wawe aware na matatizo ambayo labda walikuwa hawajayasikia na wana namna ya kuyatatua wayatatue,” alisema FA.
Rapper
Hamis Mwinjuma aka Mwana FA amekanusha tetesi kuwa ana mpango wa
kugombea ubunge katika moja ya majimbo ya mkoani Tanga anakotokea na
kudai kuwa lengo lake ni kuisaidia jamii lakini si kwa kupitia siasa.
Akiongea na 255 ya Clouds FM, Mwana FA amesema kwa nafasi aliyonayo
kama msanii anaweza kuisaidia jamii bila ya kuwa mwakilishi wa kisiasa.
“Kusaidia jamii sio lazima uwe mwanasiasa sababu kuna watu kibao
wanaofanya kama wanaharakati tu, ukasaidia ambapo kuna matatizo, kuna
watu wanaweza kupandisha sauti zao wakawafanya watu wawe aware na
matatizo ambayo labda walikuwa hawajayasikia na wana namna ya kuyatatua
wayatatue,” alisema FA.
No comments:
Post a Comment